SEKESEKE LA FRANK!!! SEHEMU YA 2

Image may contain: 1 person, text and closeup

SEKESEKE LA FRANK!!!
SEHEMU YA 2

ILIPO ISHIA SEHEMU YA 1..,>nhahaha alicheka akasema haya tangulia bafuni usifunge mlango nakuja sasa hivi ila anza kuoga mimi nitakuja na maji mengine sawa Frank…!!
>sawa nilimjibu kisha nikaingia bafuni na kuurudishia mlango wa bafu kama alivyodai. Tamaa za mwili wangu na hisia zikaanza kupanda. Mzuka wa kufanya mapenzi nao ukaongezeka kwa hali ya juu lakini nilibaki na swali moja tu kichwani mwangu JE HALIMA ATAKUJA KUOGA???
.
SONGA NAYO..,Niliendelea kukaa bafuni kwa muda wa dakika kadhaa huku nikioga kwa utaratibu kama sitaki. Huku nikijisugua kila kona ya mwili wangu. Moyo wangu ulikuwa unadunda kwa kasi huku mtwangio wangu ukiwa tayari umesimama nyuzi 90. Nilikuwa sijawahi kuoga na mwanamke kwa kipindi kirefu sana tangu niachane na Jeniffa miaka kama sita hivi iliyopita sikuwahi kuoga na mwanamke. Mimi wana wake nilikuwa nikiwachukua tukisha malizana kiu zetu kila mtu alikuwa anafuata hamsini zake bila kujuanatena.

Sasa leo mtoto Halima alikuwa ameahidi kuja kuoga na mimi tena alikuwa ameniambia nioge taratibu. Na kweli nilioga taratibu kuliko ambavyo mtu anaye mwogesha mgonjwa mwenye vidonda mwili mzima anavyoweza kufanya. Lakini muda ulizidi kuyoyoma na maji nayo yalizidi kupungua kwenye ndoo yangu hatimaye nikajikuta nimetumia lisaa lizima nikiwa bafuni lakini Halima hakuwa amefika. Nilijimwagia maji na kujikausha kisha nikatoka nikiwa nimejifunga taulo yangu kiunoni.

Nilipotoka nje Halima hakuwapo mahali nilipo mwacha na mlango wake ulikuwa umefungwa sikujua alikuwa amekwenda wapi hata. Ila nilitambua mara moja kuwa ametoka. Moyoni mwangu nilikuwa nikijutia kwanini hata nisinge mkamata mkono wakati ule nikamwambia ndoo moja ilikuwa inatutosha nikaingia nae bafuni? Ungekuta nimesha maliza kila kitu na sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisaa.

Niliingia ndani na kujipaka mafuta taratibu huku nikifikiria ni kwanini haima alikuwa amenidanganya lakini kwa upande mwingine sikuona kama ilikuwa ni haki kwangu mimi kuchukia maana alikuwa anaongea kiutani niliendelea kufikiria.
Nilimaliza kujipaka mafuta na nikavaa nguo zangu kisha nikaketi kuangalia televisheni. Niliweka trace urban nikawa anaangalia muziki huku nikisogeza wakati mpaka muda wa kula chakula cha usiku utakapo fika.

Kwakuwa mwili wangu ulikuwa tayari umeamka kihisia nilijiwazia leo hii lazima nipate mwanamke wa kulala nae humu ndani maana bila kumpata mtoto wa kike leo sijui kama nitalala kwa amani. Halima alikuwa amenisababishia mwamko nay eye mwenyewe hakuwapo kuutuliza.

Niliendelea kuangalia muziki taratibu wakati muda nao ukiwa unayoyoma taratibu sana kuutafuta usiku. Ilikuwa ni saa moja za jioni. Nikikaa nyumbani itaniwia vigumu kumpata mtoto wa kulala nae hivyo niliangalia chakula ambacho kilikuwapo ndani mchana nilikuwa nimepika wali na samaki kiasi Fulani niliona kama kitakuwa kinatosha kwa watu wawili. Nilitoka na kwenda zangu TANAMELA CLUB nikakaa na kuagiza kinywaji nikawa nakunywa taraibu huku nikijaribu kuthaminisha watoto wakali ambao walikuwa wakipita pita njiani. Sikuwa mtumiaji wa pombe na sikuwahi kupikiria kutumia katika maisha yangu yote. Nilikuwa nikiiteremsha coca cola yangu kwa utaratibu huku nikifikiria namna gani naweza kujiopolea mtoto mkali wa kurudi nae nyumbani.

Akili yangu ilikuwa haina kitu kingine cha kuwaza zaidi ya kutafuta mwanamke wa kurejea nae nyumbani. Niliendelea kutazama kule na huku nilimwona mtoto mmoja maevalia mimi skirt nyeusi na top ya rangi ya pinki kiasi Fulani alinivutia na nikajisemea yap Yule lazima nihakikishe natoka nae hapa lazima nikaoshe pale leo.

Wakati nafikiria kumfuata nikasikia sauti kando yangu
>kaka habari yako?

Alikuwa ni mwanamke mrembo kiasi chake, alikuwa mrefu wa wastani na umbo lake lilikuwa namba nane Fulani hivi amazing. Hipsi pana na kifua chake kilikuwa kimebeba chuchu ambazo zilikuwa zimesimama sawia katika kifua chake. Macho yake yalikuwa makubwa kiasi tena yalikuwa angavu alivyo kuwa ananitazama nilihisi kama alikuwa anazungumza nami kuhusu kitu Fulani. Macho yake yalikuwa yanaita. Nilifanya tatmini hizi kwa haraka baada ya kumgeukia na kumuona nafikiri nilifanya tathimini hizi kwa kipindi kisicho pungua sekunde 10.
Niliachia tabasamu kisha nikamjibu

>salama dada mzima wewe

>mimi mzima sana. Naweza kukupa kampani? Aliniuliza huku akilegeza jicho lake kidogo.

Nikajiwazia sasa intake nini kingine kama bahati sindio hizi sasa ya ni kuendelea kujitesa kutafuta mtoto mkali wa kwenda kulala nae na wakati mtoto amejileta mwenyewe hapa.

Ndio hakuna tatizo nilijibu haraka haraka na kumkaribisha kiti.
Muuudumuuu niliita mihudumu alifika nikamwambia msikilize dada hapo anataka nini. Aliagiza castle lager moja baridi kisha nikaendelea na mazungumzo naye ambayo yalidumu kwa takribani masaa mawili. Tulifahamiana vizuri sana kwakuwa tulikuwa tumeongea mengi sana katika kipindi cha masaa mawili naye alikuwa amesha angusha vyupa kadhaa vya bia na alionekana bado yupo makini sana. Baada ya muda niamwambia vipi unaishi wapi?

>Mimi naishi kidongo chekundu naishi peke yangu unataka nikupeleke?

> nhahaha nilicheka nikamwambia unanitakia mema kweli?
>ndio kwanini au unaogopa? Mimi naishi peke yangu bana twende kwangu.

>kidongo chekundu ni mbali sana usiku huu bora twende nyumbani kwangu saigoni sio mbali sana na hapa.

Tulikubaliana na safari ya kwenda nyumbani kwangu ilianza punde baada ya yeye kumaliza kunywa funda lake moja la mwisho. Alisimama na akanishika mkono tukatembea kuelekea nyumbani kwangu.

Njia nzima tulikuwa tukizungumza mengi. Kichwai mwangu nilikuwa nikifurahi kwakuwa nilikuwa nimefanikiwa kutimiza lengo ambalo lilikuwa kichwani mwangu. Yap.. nikifika najilia mtoto mtamu huyu nhahah nilicheka kimoyo moyo maana ilikuwa ni kitambo kidogo baada ya kumkosa Halima aliyekuwa amejiweka mwenyewe katika kilengeo lakini akachoropoka hata bila ya mimi kuachia jiwe la manati yangu.

Sasa huyu Winnie atanitimizia haja na kunikata kiu yangu ambayo nimekuwa nayo kwa kipindi kirefu maana ni muda kwei nilikuwa sijaonja utamu wa mtoto wa kike awaye yoyote. Nilimshika kiuno na njia nzima mtoto alikuwa akiweweseka ananiambia mbona hatufiki.

Baada ya muda nilifika mtaani kwangu. Nilipofika nyumbani kila mtu alikuwa amelala tayari na kwahyo nilipoingia ndani na Winnie hakukuwa na hata mtu mmoja ambaye alilishuhudia hili tukio. Nilifungua mlango na kuingia ndani. Tulipo fika ndani tulivua nguo haraka haraka na kujitupa kitandani

ITAENDELEA…….!!

SEKESEKE LA FRANK 1

Image may contain: 1 person, text and closeup

SEKESEKE LA FRANK!!!
SEHEMU YA 1

Wewe Halima wewe a tabia yako ya kuchukua wanaume wa watu angalia itakutokea puan umeona jana ulivyo koswa koswa kufumaniwa? Na nakwambia wangekukamata ungekoma maana walikuwa wanausongo na wewe wanasema wamechoka na tabia zako za kuzunguka mtaani na wanaume za watu. Si utafute wa kwako shosti si unajua utamu wa asali lazima uwe na mzinga wako mwenyewe nyumbani ili kusudi ukitaka kurina asali usipate taabu ya kuhangaika?

Lakini wewe mara leo upo kwa huyu mara kwa Yule sasa si utawamaliza mwenzangu? Aaaaah jamani asha embu acha zako wewe mwenzio nazunguka sizunguki bure dada angu nazunguka natafuta mwanaume ambaye anauwezo wa kuniridhisha maana tangu nimeaza kuzunguka hakuna hata mmoja ambaye amefanikiwa kunifikisha hata mmoja. Sasa mimi nitakaaje kuhadithiwa utamu wa kufika kileleni kila siku na mimi nataka niuonje huo utamu mwenzako.

Nakuahidi asha kama nikifanikiwa kumpata mwanamme wa shoka ambaye atanifikisha kileleni hakika nitatulia nitaacha kuonja onja asali za wanaume wa watu. Sipendi kuwa hivi lakini inanibidi nihangaike mpaka nimpate mwanaume ambaye ataikata kiu yangu na kunifanya mimi nami nijione kama wanawake wenzangu.

Aya sasa endelea shoga yangu ila kuwa mwangalifu kunaukimwi shoga si unaelewa? Ndio naelewa shoga yangu usiwe na mashaka huwa sichezagi peku peku huwa natumia kinga mpendwa wangu na hata juzi nilitoka kupima ukimwi pale NIA NJEMA hospital niko salama mpendwa wangu usiwe na wasiwasi.

Sawa ngoja basi nirejeee nyumbani mwangu maana nilikuja kukusabahi tu na kujua unaendeleaje shoga. Asha aliaga na kuondoka na kumwacha Halima nyumbani.

Mimi nilikuwa chumbani mwangu nikisikiliza maongezi yao kwa muda mrefu tangu mwanzoni. Maongezi kati ya asha na Halima yalinifungua akili kiasi chake. Maana mimi mwenyewe nilikuwa nikimtamani Halima kwa muda mrefu lakini nilikuwa nikimuogopa mara nyingi maana nilijua atanichomolea kwakuwa mimi nilikuwa najiona kuwa sio wa hadhi yake. Lakini baada ya kusikiliza maongezi yao akili yangu ilifunguka na nikahisi kuwa ninaweza kuwa na kile ambacho mtoto Halima alikuwa anakitafuta.

Sikuwa mzoefu sana katika ulimwengu wa mapenzi lakini kwa kiasi kikubwa nilikuwa nikiuamini uwezo wangu katika Nyanja nzima ya 6 kwa 6 hivyo nilijiwazia kuwa ipo siku moja na mimi nitajaribu bahati yangu kwa mtoto Halima maana nilikuwa nikimwangalia mara nyingi na kuishia kujilamba midomo yangu.
Nakumbuka siku moja nilikuwa nimekaa nje baada ya kumaliza kupika chakula changu cha mchana nayeye alitoka nje na kukaa tayari kwa kufua. Alikuwa amejifunga kanga moja tu kifuani mwake alivyokuwa akitembea kutoka hapa na pale alikuwa akiniua hasa alipokuwa akisugua nguo zake maungo yake makubwa ambayo mungu alikuwa amemjalia yalikuwa yakitikisika kama vile yamewekewa vibrator(kitetemeshi).

Nakumbuka siku ile sikulala kwa raha kabisa maana nilibaki nikifikiria yaliyokuwa yametokea mchana lakini sikumfuata Halima maana nilijua wazi kuwa asingelikubaliana na mimi maana mimi nilikuwa kachero tuu nisie na mbele wala nyuma sikuwa na pesa wala nini nilikuwa nikiishi maisha ya kawaidatu katika nyumba yetu hii ya kupanga.
Nilikuwa nikiotea chakula nakula natulia lakini sikuwa na cha ziada cha kufanya. Ukiacha urithi wa nyumba hii ya kupangisha ambayo ni mali ya baba yangu hakukuwa na kitu kingine ambacho kilikuwa kikiniongezea kipato change hivyo muda mwingi sana nimekuwa nikikaa nyumbani tu nasubiria mwisho wa mwezi ili kusudi nipokee mshaara wangu maisha yasonge mbele.

Niliendelea kubaki chumbani mwangu nikitafakari ni jinsi gani naweza kujilia uroda wa bure kwa mtoto Halima. Mtoto mrembo mweye umbo matata ambalo liliweza kumshawishi kila mwanaume kumtamani. Nilikaa na kuendelea kutunga sheria zangu za mzee kobe lakini sikuona kama kuna hata sheria moja ambayo ingelimkamata mtoto Halima. Nikajisemea au nimfuate nimwambie kuwa nimemfutia kodi ataishi bure kwenye nyumba hii ya kupanga? Lakini hiyo niliona ilikuwa mbaya maana nilijua wazi kuwa Halima alikuwa na uwezo wa kunilipa kodi kila mwezi
.
Nilikaa na kuumiza akili mwanaume lakini kila nililokuwa nikiliwaza lilionekana kuwa batili kabisa mwisho nikaamua kutulia. Lakini kichwani mwangu nilikumbuka maneno ambayo Halima alimwambia aisha “mimi nataka mwanaume wa shoka ambaye atanifikisha nikimpata basi nitatulia tuliii wala sita angaika na wanaume za watu”

Wazo likanijia inamaana kama nikiweza kupata gem moja na huyu mtoto mrembo nikafanikiwa kumfikisha kileleni basi nitakuwa nimejipatia mtoto buree bila hata chembe ya senti yangu. Tena kuna uwezekano mimi ndio nikawa najipatia kipato kutoka kwake. Ndio najua itawezekana kabisa mimi kufanya hivi. Hapa nitabidi nitafute nafasi moja nzuri ya kuhakikisha Napata hata gemu moja ya majaribio na mtoto Halima.

Kama nikifuzu mchezo wa majaribio inamaana usajili utakamilika na kinachofuata nitakuwa nikicheza uwanja wa nyumbani na sio uwanja wa ugenini tena na tena nami nitakuwa nikihesabika miongoni mwa wanaume ambao watakuwa na watoto wakali zaidi mtaani.

Baada ya muda nilimsikia Halima akitoka nje sikujua alitoka kufuata nini ila na mimi kwa haraka haraka nilivua nguo zangu nikajifunga taulo yangu kiunoni tayari kwenda kuoga. Nilifanya hivi makusudi maana nilikuwa nimejaliwa kifua kiasi na ukichangia na mazoezi ambayo nilikuwa nikipiga basi kila kitu kilikuwa sawia katika mwili wangu.

Nilitoka haraka haraka na ndoo yangu nikifanya jaribio langu la kwanza nione kama nitaweza kumnasa mtoto mrembo katika mtego wangu. Nilitoka na kumkuta amekaa nje anaota jua la jioni nikamsalimia mambo vipi Halima!!
Aah poatu naona unaenda kuoga..

>ndio naenda siunajua mihangaiko mchana kutwa na joto la huku bagamoyo lazima mtu uoge bana.
>sawa Frank, mimi ngoja niendelee kuota jua nitaoga baadae au nijiunge nawe alisema akinitazama.
>karibu sana vipi nikusubiri nilimwambia huku nikiweka maji bafuni na kumgeukia. Lengo langu likikuwa ni kumwonyesha kifua changu na six packs zangu nilizozipata kwa kupiga mazoezi ya kata tumbo kwa muda mrefu sana.
>nhahaha alicheka akasema haya tangulia bafuni usifunge mlango nakuja sasa hivi ila anza kuoga mimi nitakuja na maji mengine sawa Frank…!!
>sawa nilimjibu kisha nikaingia bafuni na kuurudishia mlango wa bafu kama alivyodai. Tamaa za mwili wangu na hisia zikaanza kupanda. Mzuka wa kufanya mapenzi nao ukaongezeka kwa hali ya juu lakini nilibaki na swali moja tu kichwani mwangu JE HALIMA ATAKUJA KUOGA???
.
Hadithi hii ipo katika majaribio, kama ikiwa na wapenzi wengi inaweza kuendelea.. toa maoni yako na usisahau kushare na washaji.
ITAENDELEA……….!!!